Mwenyekitin wa Mkouano wa kuwasilisha Mada katika Kongamano la Kimataifa la Historia ya Utamaduni wa Ustaarabu wa Kiislam akiongoza kikao hicho wakati wa kuwasilisha mada zao katika kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Lagema Nungwi Zanzibar.
Zanzibar viongozi wa Serikali wanshangaza kweli, Wanahubiri kuuendeleza uislamu lakini waislamu wakichachamaa kuutetea uislamu na maadili yake ndio viongozi wa kidini wanapowekwa ndani kwa kutekeleza malengo ya kisiasa. Mwenyezi Muungu ni hakimu muadilifu kuliko mahakimu wote ,na kila mmmoja wenu atalipwa kwa yale aliyoyatenda hapa duniani.
Nashangaa kwanini viongozi wa kisiasa wanaendelea kualikwa ktk hafla za kidini!
Ni vigumu kukubali lkn. ukweli unabaki kua siasa yenyewe ni Dini na ina namna yake ya kuamini.
Ukitaka kujua hilo, angalia namna ambavyo Serikali ya MISRI ilivyokuwa ikiuwa watu waliokaa kitako ktk makambi tena mwezi wa ramadhani eti tu kwa kukaidi amri ya serikali.
Maamuzi ya namna ile hayana 'justification' yoyote kidini isipokua adhabu ya moto lakini kisiasa yana uhalali wa kila namna!
WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI
-
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Balozi wa Japan nchini
Tanzania Mhe. Yoichi Mikami na kujadiliana naye masuala ya uchumi, miradi
ya maendel...
2 Comments
Zanzibar viongozi wa Serikali wanshangaza kweli, Wanahubiri kuuendeleza uislamu lakini waislamu wakichachamaa kuutetea uislamu na maadili yake ndio viongozi wa kidini wanapowekwa ndani kwa kutekeleza malengo ya kisiasa. Mwenyezi Muungu ni hakimu muadilifu kuliko mahakimu wote ,na kila mmmoja wenu atalipwa kwa yale aliyoyatenda hapa duniani.
ReplyDeleteNashangaa kwanini viongozi wa kisiasa wanaendelea kualikwa ktk hafla za kidini!
ReplyDeleteNi vigumu kukubali lkn. ukweli unabaki kua siasa yenyewe ni Dini na ina namna yake ya kuamini.