Beki wa timu ya Chipukizi akiruka juu kuokoa mpira wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Grand Malt, mchezo uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Polisi imeshinda 2--1.
Mshambuliaji wa timu ya Polisi akimiliki mpira wakati timu yake ilipokutana natimu ya Chipukizi katika mchezo wa ligi kuu ya Grand Malt.
0 Comments