Kampuni ya Simu za Mkononi ZANTEL, imetoa nafasi kwa Wateja wake kutoa maoni yao kutokana na huduma wanazotoa
Toa maoni yao kupitia katika Mtandao. Toa Maoni yako ili Kuboresha Huduma kwa wateja kupitia
Namba ya Simu 0775044755.
Tunapokea maoni Jumatatu hadi Ijumaa
kuanzia saa 3.00 Asubuhi hadi saa 11-00 jioni
Kwa Barua Pepe feedback@zantel.co.tz
0 Comments