6/recent/ticker-posts

Dk Shein afungua mafunzo maalum kwa Viongozi na Watendaji wa CCM Dodoma

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman
Kinana,alipowasili katika Uwanja wa Ndege  wa Dodoma,alipohudhuria kuyafungua mafunzo maalum ya Viongozi na Watendaji wa Chama cha Mapinduzi   katika ngazi mbali mbali na Jumuiya zake katika ukumbi wa White House,Makao Makuu ya CCM,Dodoma leo
 Baadhi ya wajumbe waliohudhuria katika mafunzo ya Viongozi na Watendaji wa  Chama cha Mapinduzi,na Jumiya zake wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Makamo Makuu ya CCM Dodoma, leo kabla yahutuba ya ufunguzi iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana, wakiimba wimbo wa Chama wakati wa ufunguzi  wa mafunzo maalum kwa Viongozi na Watendaji wa
Chama wa Ngazi mbali mbali na Jumuiya zake,katika ukumbi wa White House,Makao Makuu ya CCM,Dodoma leo asubuhi
 Viongozi  wa Chama cha Mapinduzi wakisimama kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,katika
ufunguzi wa Mafunzo maalum kwa Viongozi na Watendaji yatakayo chukua siku nne,katika ukumbi wa Makao Makuu ya CCM Dodoma leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akitoa hutuba yake wakati alipokuwa akiyafungua mafunzo
maalum ya Viongozi na Watendaji wa Chama Cha Mapinduzi katika ngazi mbali mbali na Jumuiya zake  ,katika ukumbi wa Makamo Makuu ya CCM Dodoma leo asubuhi.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]


Post a Comment

0 Comments