Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hssan Mwinyi,(Mzee
Ruksa) na Mkewe Mama Siti Mwinyi,walipokuwa wakisalimiana na Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali vuai,katika hafla ya Harambee ya
kuchangia CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika ukumbi wa Sea Cliff-
Kama, Wilaya ya Kaskazini B,Unguja jana usiku
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed
Shein,(kulia) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini
Unguja,alipowasili katika viwanja vya Sea Cliff-Kama,katika hafla ya
Harambee ya kikichangia Chama cha Mapinduzi,Mkoa wa Kaskazini,hafla
hiyo ilifanyika jana usiku
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed
Shein,(kulia) akisalimiana na wanakamati waliofanya maandalizi mbali
ya kufanikisha Harambee ya kikichangia Chama cha Mapinduzi,Mkoa wa
Kaskazini,alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Sea Cliff-Kama,
jana usiku
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,(katikati) akiwa na viongozi wa chama wakati wa Harambee ya uchangiaji Fedha kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi ya Chama na ya kijamii katika Mkoa wa Kaskazini Unguja,hafla ilifanyika ukumbi wa Sea Cliff-Kama,jana usiku
Baadhi ya wananchi na wanachama na wapenzi wa CCM walioalikwa katika hafla ya Harambee ya kikichangia Chama cha Mapinduzi,Mkoa wa Kaskazini,wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Sea Cliff-Kama, jana usiku
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,akipokea mchango ulitolewa na Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano,Mama Salma Kikwete,kwa niaba yake Katibu wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Katerin Piternao akikabidhi wakati wa Harambee ya kikichangia Chama cha Mapinduzi,Mkoa wa Kaskazini,katika ukumbi wa mikutano wa Sea Cliff-Kama, jana usiku
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hssan Mwinyi,(Mzee Ruksa) wakigonganisha Glasi za maji kama ishara ya kufungua Harambee ya kikichangia Chama cha Mapinduzi,Mkoa wa Kaskazini,katika ukumbi wa mikutano wa Sea Cliff-Kama, jana usiku~
Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu

.jpg)
.jpg)





0 Comments