Kwa munasaba huu wa furaha wa siku hii ya Eidul Hajj ( Eidul
Adh-haa) ZanziNews inapenda kuchukua fursa hii kuwapa
salaam zetu za siku hii na dua njema kwenu wote, tukimuomba
Allaah (Subhaanahu Wata'ala) Atutakabalie amali zetu na zenu
‘TAQABBALALLAAHU MINNA WA MINKUM’
0 Comments