6/recent/ticker-posts

Harakati za Maandalizi ya Eid El Hajj Zenj

Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati wa maandalizi ya sikukuu ya Eid El Hajj katika marikiti kuu ya darajani wananchi wakiwa katika jitihada za kukamilishi  vifaa mbalimbali kwa watoto na vyakula ili kuweza kusherehekea vizuri kama kawaida ya Wananchi wa Zanzibar na mambo ya vichopochopo vya keki na mahanjumati mengine kama unavyojuwa mambo ya Zenj na maakuli siku hiyo.

Post a Comment

0 Comments