Makao Makuu ya PBZ Islamic Bank, lilioko katika jengo jipya la Shirika la Bima Zanzibar limefunguliwa na kutowa huduma za Kibenki kwaWateja wake katika Visiwa vya Zanzibar na Vitongoji vyake, hili ni tawi la Nne la PBZ Islamic Banki, matawi mengi yako katika Kisiwa cha Pemba na Mjini Dar-es-Salaam hutowa huduma hiyo kupitia PBZ Islamic Bank.
Wateja wa PBZ Islamic Bank wakipata huduma katika tawi hilo katika mitaa ya mpirani Mao, katika jengo la Bima Zanzibar.
0 Comments