6/recent/ticker-posts

Ofisi ya Hati Miliki Zanzibar COSOZA.

 Baadhi ya CD na Mikanda ya Video iliokamatwa na Ofisi ya Hati Miliki Zanzibar kufanya biashara hiyo bila ya kuwa na uhalali wa hati miliki, kuwanyia mapato wasanii kutokana na kukopi kazi zao na kuziuza bila ya ridhaa zao, Zoezi hilo lilifanyika katika maduka mbalimbali ya kurikodia  CD, Ofisi ya Hatimiliki imefanya zoezi hilo. Ilikuhakikisha wasanii wanafaidika na kazi zao na sio watu wengine kupitia mgongo wao.Cd hizi zinatarajiwa kutelekezwa kwa kuchomwa moto kesho katika eneo maalum lililotengwa kwakazi hiyo. 

Post a Comment

0 Comments