Rais Jayaka Mrisho Kikwete akikagua sehemu mbalimbali za kiwanda cha chai cha
Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013
Rais Jayaka Mrisho Kikwete aki furahi na mkurugenzi wa
kampuni ya mufindi tea & coffee limited baada ya kufungua kiwanda cha chai
cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu mbalimbali za kiwanda cha chai cha
Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013
Rais Jayaka Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa
hadhara baada ya kufungua kiwanda cha
chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013





0 Comments