6/recent/ticker-posts

Wasanii wapagaisha Usiku wa Fiesta Ukumbi wa Mesi ya Polisi Zenj

DJ. Zeroakiwapagaisha Wapenzi wa muziki wa Kizazi Kipya katika viwanja vya ukumbi wa Messi ya Polizi ziwani katika usiku wa Fiesta ulioburishwa na wasanii kutoka Dar na Zenj.
Wasanii wa Kizazi kipya wakilivyamia jukwaa la messi ya Polisi katika Fiesta ya Nguvu iliofanyika usiku wa jana katika ukumbi huo.


Post a Comment

0 Comments