Kituo Kipya cha Afya ya Wazazi na Watoto katika Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba ni moja ya Miradi ya Serekali katika kutowa huduma ya Afya, Kimefunguliwa hivi karibuni katika shemrashamra za sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar, kwa ajili ya kutowa huduma za Afya za Mtoto na Mzazi katika kijiji hicho Kiuyu Micheweni.
Ambacho
CMSA YAZINDUA ZIADA FUND, OFISA MTENDAJI MKUU ATOA NENO
-
MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imezindua Mfuko wa Uwekezaji
wa Pamoja wa Kampuni ya Africa Pension Fund Limited (APEF) unaoitwa Ziada
Fund...
31 minutes ago
0 Comments