Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakiangalia majina yao katika kituo cha kupigia katika skuli ya Kiembesamaki wakati wa zoezi la Uchanguzi Mdogo wa Mwakilishi wajuwe kituo chao cha kupigia kura, ili wasipate shida wakati wa kupiga kurao tarehe 2-2-2014.
TASAF YAJIVUNIA MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KUPITA MRADI WA KUPUNGUZA
UMASIKINI AWAMU YA NNE
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV -Karatu
MKURUGENZI Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) Shedrack Mziray
ametoa taarifa ya mafanikio ya Mradi wa Kupun...
2 hours ago
0 Comments