Wananchi wakifuatilia habari mbalimbali pitia vichwa vya magazeti ya leo na kununua gazeti lilokuwa na habari zakuvutia ili kuweza kununua gazeti hilo,wakiwa katika kituo cha kuuziamagazeti daraji Zenj.
Serikali Yatajivunia Mafanikio ya Maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam
Katika Siku 100 za Uongozi wa Rais Samia
-
Na Avila Kakingo, Michuzi Tv
MSEMAJI wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Gerson Msigwa, amesema Serikali ya Awam...
2 hours ago
0 Comments