6/recent/ticker-posts

Taa za Kuongozea gari kipindi kirefu bila ya huduma zaondolewa

 Eneo ambalo lilikuwa na taa zakuongozea magari katika kiplefti cha barabara ya Khamis machungwa mkunazini makutano ya barabara ya michezani na ya mnazimmoja.Taa hizo zimetolewa na kufanyiwa ukarabati kuweka taa za kisasabaada yakuondolewa zile za zamani ambazo zilikuwa kwa kipindi kirefu bila ya kutowa huduma hiyo kwa watumiaki wa barabara hiyo.  

Post a Comment

0 Comments