Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed
Shein akizungumza na Balozi mteule wa Tanzania nchini Sweden Mhe,Dora Msechu ,
aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed
Shein akifuatana na Balozi mteule wa Tanzania nchini Sweden Mhe,Dora
Msechu , aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo,baada ya mazungumzo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi mteule wa Tanzania nchini
Sweden Mhe,Dora Msechu , aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo,baada ya
mazungumzo ,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]



0 Comments