MRATIBU wa TASAF Pemba Mussa Said, akiwafafanulia jambo wananachi wa shehia ya Ndagoni wilaya ya Chakechake, kabla ya wananchi hao ambao ndio maskini kugawiwa fedha taslimu shilingi 9,405,563 milioni kwa ajili ya kujiendeleza wao na watoto wao kielimu na afya (picha na Haji Nassor, Pemba)
ALIYEFARIKI DUNIA KWA TUKIO LA KUCHOMWA KISU TUMBONI, FAMILIA YAKE YASEMA
IMEAMUA KUMUACHIA MUNGU
-
Na Mwandish wetu, DAR ES SALAAM
FAMILIA ya marehemu Salehe Iddy Kitambulio iliyopo Zavala, Chanika Manispaa
ya Ilala, imesema pamoja na ndugu yao kupokwa u...
1 hour ago
0 Comments