VIPAJI vya aina
hii vya watoto, kuelekea kwenye upigaji wa ala na gita za muziki, vinafaa
kuungwa mkono na serikali kupitia wizara yake inayoshughilikia utamaduni, ambapo watoto wa kisiwa cha Kojani, wamekua
mstari wa mbele, kuacha kazi za uvuvi baadhi yao na kujaribu suala la upigaji
wa alaa na muziki kwa kutumia vifaa vya matumizi ya ndani (picha na Haji Nassor, Pemba)
DKT. MAULID ASISITIZA ITIFAKI NA TABIA NJEMA KWA VIONGOZI WA ELIMU
-
Mkutano Mkuu wa 12 wa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri
Tanzania Bara (REDEOA) umeendelea kufanyika jijini Arusha kwa siku saba
tangu ulipofun...
25 minutes ago
1 Comments
Mwandishi jaribu kuwa makini kidogo. Hivi kushajihisha vijana kama Hawa kuacha kazi ya kuvua na kuingia kwenye shughuli za upigaji Wa ala za muziki ndio umesaidia nini. Nilitaraji utatilia mkazo Wa kuwepo while ns kupata elimu ya kuendeleza maisha yao name taifa kwa ujumla
ReplyDelete