Kampuni ya Kichina inayofanya ujenzi katika uwanja wa kufurahisha watoto kariakoo ikiufanyia ukarabati mkubwa mtaro mwa maji machafu katika eneo hilo kuweza kusafirisha maji hayo ya mvua katika mtaro huo hadi katika mtaro mkubwa unaopeleka maji kilimani baharini.
Mafundi wakitandika makalavati kwa ajili kupitisha maji machafu na ya mvua katika mtaro huo.
DCC HANDENI YAPITISHA VIPAUMBELE VYA HANDENI MJI 2026/27
-
*📌Bima ya afya kwa wote yaguswa*
*Na Augusta Njoji*
*KAMATI ya Ushauri ya Wilaya ya Handeni (DCC) imepitisha mapendekezo ya
rasimu ya Mpango wa Maen...
14 minutes ago
2 Comments
Huu mtaro kama inawezekana ungeunganishwa na pale Kijangwani inaonekana tumeshindwa kabisa kupata ufumvuzi Wa kutuama maji aibu kweli.
ReplyDeleteMtaro Architecture amefeli hapo. Anahitajo atumie water Cad otherwise I see an issue already by visible eye.
Delete