6/recent/ticker-posts

Skuli ya Kusini Sekondari yapokea msaada wa madeski

Skuli ya sekondari ya Kusini iliyopo Makunduchi imepokea msaada wa madeski 20 wenye thamani ya Tshs. 5 milioni kutoka kwa Bi. Christin Stromberg kutoka Sundsvall. Madeski hayo yatawapatia vikalio wanafunzi 60. Msaada huo umewasilishwa na ndugu Mohamed Muombwa kwa uongozi wa Skuli.

Post a Comment

0 Comments