JENGO la Ofisi ya Wizara ya Fedha na Uchumi Pemba,
ambalo ujenzi wake haukufikia mwisho baada ya ukuta wa nyuma wa jengo hilo
kuinama, huku likiwa limeekewa nguzo kuzuwia ukuta huo ili lisianguke. Jengo hili limegharimu mamilioni ya fedha, likiwa karibu na Ofisi ya ZSSF Tibirinzi
Chake Chake.(Picha na Mwandishi Wetu,
Pemba).
Matukio : Watumishi wapya wa Ofisi ya Msajili wa Hazina wapigwa msasa
-
Na Mwandishi wa OMH
Kibaha, Pwani. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH), kwa kushirikiana na Chuo
cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), imeendesha mafunzo ya...
2 hours ago

0 Comments