6/recent/ticker-posts

Mhe Juma Duni Mgombea Mwenza wa Mhe Lowassa.

Mkutano Mkuu wa Chadema wantangaza Juma Duni kuwa Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tangazania Mhe Edward Lowassa leo jioni wakati wa mkutano huo uliofanyika Jijiji Dar-es-Salaam. 

Mhe Juma Duni atauungana na Mhe Lowasaa kupeperusha bendera ya Chadema kuwania nafasi ya Urais katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu 2015  

Post a Comment

0 Comments