6/recent/ticker-posts

Dk Shein akutana na Mabalozi wa Marekani na Sweden Ikulu

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Marekani katika Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Mark Chiidress alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya mazungumzo,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake  Balozi wa Marekani katika Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Mark Chiidress alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana na Rais,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake  Balozi wa Marekani katika Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Mark Chiidress baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa  Sweden  katika Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Bi.Katarina Rangnitt alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya mazungumzo  na Rais,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na    Balozi wa Sweden  katika Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania  Bi.Katarina Rangnitt alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana na Rais,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake  Balozi wa Sweden  katika Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Bi.Katarina Rangnitt mara  baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

Post a Comment

0 Comments