Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete aongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM jijini Dar es salaam ambacho kimehudhuriwa kwa mara ya kwanza na Rais wa Awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli.
BUNGE LA 13 LAUNDA KAMATI 17, UPINZANI WAPENYA HUKU WANAWAKE WAKIWA WENGI
ZAIDI
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Bunge la 13 limeunda jumla ya Kamati 17 huku wanawake wengi wakichomoza
kuongoza kamati hizo, Wabunge wa upinzani wa ...
1 hour ago

0 Comments