Kijana Mjasiriamali akiwa kazi katika kazi yake ya Ufundi wa TV katika mtaa wa Magomeni Jitini akitengeneza TV, Vijana wajitahidi katika kazi za mikono za ufundi wa vyombo mbali mbali ili kujipatia ajira na kupata mafunzoi ya kazi hiyo.
MBUNGE KAIRUKI ATOA MATUMAINI MAPYA SARANGA, AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO NA
KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI
-
Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Kibamba, Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki,
amefanya ziara ya kukagua na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo
inayoendelea...
6 hours ago
0 Comments