Ujumbe wa watu wawili kutoka Sundsvall Manispaliti wawasili leo kwa ziara ya wiki moja kwa wenyeji wao Wadi ya Makunduchi. Walipowasili uwanja wa ndege wa Zanzibar walipokelewa na wenyeji wao wa Makunduchi Ndugu Mohamed Simba kutoka kushoto na Mwalimu Hafidh bin Ameir pamoja na ndugu Mohamed Muombwa (hayupo kwenye picha) ambaye ni mratibu wa mahusiano kati ya wadi ya Makunduchi na Manispaliti ya Sundsvall nchini Sweden.
Arusha Yageuza Bodaboda Kuwa Fursa Mpya
-
Na Pamela Mollel,Arusha.
Jiji la Arusha limeanza ukurasa mpya katika sekta ya bodaboda baada ya Mkuu
wa Wilaya ya Arusha, Joseph Modest Mkude, kuzindua m...
5 hours ago

0 Comments