Watalii watetembelea maeneo ya Mji Mkongwe wa Zanzibar katika maeneo ya historia ya Zanzibar wakiwa katika mitaa ya shangani wakiendelea na safari zao za Kitalii katika maeneo hayo.
DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA KATI YA
TANZANIA NA ZAMBIA
-
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 16, 2026 ameongoza kikao cha
kimkakati na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu wa kisekta, Ofisini
kwake,...
21 minutes ago
0 Comments