Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akimtambulisha Mgombea Ubunge wa Jimbo la Dimani Ndg Ali Juma Ali wakati wa mkutano wa kampeni wa ufungaji uliofanyika katika uwanja wa skuli ya msingi Fuoni Wilaya ya Magharibi B Unguja. 
TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA NNE 2025
-
BOFYA KUTAZAMA MATOKEO
BOFYA KUTAZAMA MATOKEO
7 minutes ago
0 Comments