6/recent/ticker-posts

Matikiti maji yaanza kukosa wateja kisiwani Pemba

BIASHARA ya tunda aina ya Tikiti maji, imepooza katika siku za hivi karibuni kisiwani Pemba, licha ya wakulima na wachuuzi wa bidha hiyo, kupunguza bei, lakini kumekuwa na tatizo la wateja ingawa hata wakulima nao wameongezeka, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

Post a Comment

0 Comments