NAIBU Katibu
Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Ali Khamis, akimkabidhi cheti Mwanasheria wa
Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Said Malik, baada ya kumaliza mafunzo
ya siku tano juu ya namna ya kuandaa na kutia saini mikataba mbalimbali ya serikali.
Hafla hiyo ilifanyika Juni 24, 2017 katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo mjini Zanzibar.
(Picha na Abdalla Omar-MAELEZO).
TMA JNIA YATOA ELIMU KWA JAMII KUADHIMISHA SIKU YA HALI YA HEWA DUNIANI 2026
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Kituo cha Hali ya Hewa cha Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), im...
3 hours ago

0 Comments