Wafanyabiashara katika bustani ya Forodhani Unguja Wilaya ya Mjini wakiwa katika matayarisho ya kuaza kwa biashara hiyo ya vyakula kwa Wananchi na Wageni wanaofika katika bustani hiyo kwa ajili ya mapumziko ya jioni hujipatia maakuli hiyo.
TAIFA STARS YAFUZU HATUA YA MTOANO AFCON
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars imefanikiwa kufuzu hatua ya mtoano
ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) kw...
9 hours ago
0 Comments