6/recent/ticker-posts

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Azifariji Familia zilizopata Msiba wa Watoto Wanne Zanzibar

Sheha wa Shehia ya Jang’ombe,  Khamis Ahmada(Aliyesimama akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe Balozi Seif Ali Idd tukio la watoto wanne waliokutwa wamefariki ndani ya gari baada ya milango ya gari kujifunga na kukosa hewa

Post a Comment

0 Comments