BADO suala la usafiri wa uhakika wa wananchi wa
Kisiwa cha Fundo na Kokota Wilaya ya Wete, imekuwa ni kitendawili pichani
wananchji wakiwa wamejazana katika moja ya vyombo vya usafiri wakitoka
bandarini Wete kwenda Kisiwa cha Fundo.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
TARURA YATEKELEZA UJENZI WA KM 56 ZA BARABARA ZA LAMI ILALA KUPITIA DMDP II
-
Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza
kutekeleza ujenzi wa barabara zaidi ya Kilomita 56 kwa kiwango cha lami na ...
52 minutes ago
0 Comments