Mchezo wa Kuvuta kamba kati ya Wazee Arusha Sports Club na Baraza la Wawakilishi Sports Club wakishiriki katika michezo ya Tamasha la Pasaka katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Baraza imeshinda mchezo huo kwa kuwavuta Wazee Arusha Sports Club.uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
DIWANI NGOLE ATANGAZA VITA NA WAZAZI WASIOPELEKA WATOTO SHULE.
-
Serikali katika kata ya Nyanguku halmashauri ya manispaa ya Geita
imetangaza vita dhidi ya wazazi ambao hawajawaandikisha watoto Elimu ya
awali pamoja na...
10 minutes ago
0 Comments