Afisa wa Ushirikiano wa Ubalozi wa Switzerland Bi. Romana Tedeschi akizungumza na kutowa salamu za Nchi yake wakati wa hafla ya utilianaji wa saini ya makubaliano ya miaka miwili kati ya Kampuni ya Novartis na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Afya Zanzibar kupata habari za sms kutoka katika Vituo vya Afya vya Unguja na Pemba kuhusiana na upungufu wa wa dawa katika vituo hivyo kupitia Mtando wa Simu wa Vodacom.
MBUNGE KAIRUKI ATOA MATUMAINI MAPYA SARANGA, AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO NA
KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI
-
Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Kibamba, Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki,
amefanya ziara ya kukagua na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo
inayoendelea...
8 minutes ago
0 Comments