Naibu Waziri Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Choum Kombo Khamis akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad SAW yaliofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Zanzibar.Akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
EAC : Rais Mhe. Dkt. Samia awasili Mkoani Arusha kwa ajili ya kushiriki
katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
(EAC).
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu pamoja na Mkuu
wa M...
10 minutes ago
0 Comments