Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Injinia Isaack Kamwelwe akikata utepe muda mfupi baada ya Ndege ya Air Tanzania Boing 787-8 Drealiner kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chhatrapati Shivaji, Mumbai nchini India alfajiri ya leo Julai 18, 2019. Ndege hiyo imeanza safari yake ya kwanza ya kutoka nje ya bara la Afrika huku zingine zikitazamiwa siku za mbeleni. Hii ni safari ya sita kwa safari za kimataifa kwa Ndege za Air Tanzania.
WIZARA YA ARDHI YAINGILIA KATI SAKATA LA ENEO LENYE MGOGORO GEITA
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeingilia kati mgogoro wa
matumizi ya ardhi unaomhusisha mwekezaji Rashid Kwanzibw...
1 hour ago

0 Comments