Msemaji Mkuu wa Serikali
Dkt. Hassan Abbasi akiongea na Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt.
Jabiri Bakari (katikati) alipotembelea Ofisi za Wakala hiyo leo Jijini Dodoma
kujionea masuala mbalimbali ya Teknolijia ya Habari na Mawasiliano
Mtendaji
Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Jabiri Bakari akimueleza jambo Msemaji
Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi masuala mbalimbali yanayohusu Teknolojia ya
Habari na Mawasiliano Serikalini alipotembelea Ofisi za Wakala hiyo leo Jijini
Dodoma
Picha na Maelezo-Dodoma.
0 Comments