Mchezaji wa Timu ya Nyuki akiwa na mpira akijaribu kumpita mchezaji wa Timu ya Polisi katika mchezo wa Ligi Kuu Mpira wa Kikapu uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu ya Polishi imeibuka mshindi katika mchezo huo kwa kuifunga Timu ya Nyuki kwa Vikapu 75 - 54.
JENGO LA OFISI YA MKUU WA MKOA WA MOROGORO LIKAMILIKE JULAI 2026 - PROF.
SHEMDOE
-
Na OWM - TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amemuelekeza Mkand...
1 hour ago
0 Comments