Mchezaji wa Timu ya New West akijaribu kuwapita wchezaji wa Timu ya Africa Magic wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Mpira wa Kikapu uliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu ya Africa Magic imeshinda kwa Vikapu 59 - 48.
TPSC Yawajengea Vijana Misingi ya Maadili na Uzalendo Kuelekea Maadhimisho
ya Miaka 25
-
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Kuelekea maadhimisho ya miaka 25 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania
(TPSC), Mkurugenzi wa chuo hicho Kampasi ya Dar e...
11 minutes ago
0 Comments