RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la
Msingi la ujenzi wa Jengo linalojengwa katika eneo la Gombani Chakechake Permba
na (kushoto kwa Rais) Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Ndg. Joseph
Abdalla
MUONEKANO wa Jengo la ZRB Gombani Pemba lililowekwa jiwe la
Msingi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein(yayupo pichani) hafla hiyo imefanyika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mshauri Mkuu Elekezi wa
Ujenzi wa Jengo la ZRB Gombani Chakechake Pemba Ndg. Oswald Modu, wakati wa
hafla ya uwekaji jiwe la msingi la jengo uliofanyika leo 5/8/2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea ujenzi wa Jengo la ZRB Gombani
Pemba wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Jengo hilo,(kushoto kwa
Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya ZRB Ndg. Saleh Sadiq na (kulia kwa Rais) Kamishna
wa Bodi ya Mapato Zanzibar ZRB. Ndg
Joseph Abdalla Meza, wakati akitembelea ujenzi huo baada ya kuweka jiwe la
msingi
MEYA KIBAHA KUTOA ZAIDI YA MILION 18 KUCHIMBA VISIMA VINNE KUPUNGUZA KERO
YA MAJI PANGANI
-
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Disemba 22, 2025
Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Kidimu, Kata ya Pangani, Halmashauri ya
Manispaa ya Kibaha wanakabiliwa na uhaba...
2 hours ago
0 Comments