Muonekano wa Jengo Jipya la Maduka ya Kisasa la Michezani Mall ambalo limefunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein. Jengo hilo ni Mradi Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF. liko katika eneo la michezani awali eneo hilo lilikuwa na maduka ya makontena na kupisha ujenzi huo mkubwa wa maduka ya kisasa 
KATIBU MKUU CCM DK. MIGIRO AUNGURUMA DAR… ATOA MAELEKEZO UTOAJI MAELEKEZO
-
-Pia azungumzia nguvu ya wanachama walioko katika mashina,matawi
-Asisitiza nafasi ya wazee katika kutoa elimu ya itikadi kwa vijana
KATIBU Mkuu wa Chama C...
7 hours ago
0 Comments