RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi
akitikia dua iliyosomwa na Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhaj Dkt.Salmin Amour Juma (kulia
kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao
ya faragha wakati alipomtembelea nyumbani kwake Migombani Jijini
Zanzibar kumjulia hali .
WANAOTAKA KUOA AU KUOLEWA SULUHISHO LAO LIPO MAPANGO YA AMBONI TANGA
-
Na Mwandishi wetu, Tanga.
Je umewahi kutembelea Mapango ya Amboni na kupata simulizi zake?
Pengine kwa muda mrefu unatafuta mchumba uoe au uolewe lakin...
45 minutes ago
0 Comments