Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC, kilichofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar tarehe 18 Januari 2026.
SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA DINI-DKT. MWIGULU
-
-Asema lengo ni kujenga Taifa lenye hofu ya Mungu, upendo, haki na
uwajibikaji
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 18, 2026 ameshiriki Ibada...
3 hours ago


0 Comments