Habari za Punde

MAALIM SEIF AKIMNADI MGOMBEA WA KIKWAJUNI

MGOMBEA Urais kupitia cha cha CUF Seif Shariff Hamad akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Kikwajuni Idarous Habib kwa wananchi wa jimbo la hilo katika mkutano wa kampeni ya urais kupitia chama hicho uliofanyika viwanja vya Alabama Mwembeshauri.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.