Habari za Punde

NI DK ALI MOHAMMED SHEIN - RAIS MTEULE WA ZANZIBAR

JUMLA YA KURA ZILIZOPIGWA 364,924
KURA HALALI 358,815
KURA ZILIZOHARIBIKA 6109

DK ALI MOHAMMED SHEIN 179,809 50.1%
MAALIM SEIF SHARIF HAMAD 176,338 49.1%
SAID SOUD SAID 480
KASSIM ALI BAKARI 803
HAJI AMBAR KHAMIS 363
HAJI KHAMIS HAJI 525
JUMA ALI KHATIB 497

3 comments:

  1. HAIWEZEKANI AWE RAIS WA ZANZIBAR..IS ALL ABOUT FRAUD AND NOT FAIR ELECTION.

    WE WILL NEVER RECOGNISE HIM AS OUR PRISIDENT

    DHULMA NA WIZI NDIO KAZI YENU..INSHALAH MUNGU ATAWALIPA KWA KUTENDA MAMBO MABAYA NDANI YA NCHI YETU!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Aloshinda kashinda!hongeraaa ila tunataka watu kufanya kazi bega kwa bega Inshalllah tunawaombea dua Wanzanzibar kwa moyo wenu wote wa kutuliza amani katika kipindi chote cha uchaguzi.Ama kweli wanzanzibar ni wastaarabu na mmeonesha ustaarab.

    ReplyDelete
  3. Sote ni washindi na hatuna budi kuwapa pongezi viongozi na sote ni wazanzibari tumeshinda tushikamane ili kuendeleza demokrasia.Mungu ibariki Zanzibar na Mungu wabariki wanzanzibari, watu wa vyama wamemaliza kazi lakini wanzanzibari tuna kazi ya kuijenga Zanzibar mpya.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.