Habari za Punde

LIGI KUU YA ZANZIBAR MALINDI NA CHUONI.

MSHAMBULIAJI wa timu ya Malindi Mohammed Salum  (kushoto )akimpita beki wa timu ya Chuoni katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Chuoni imeshinda 1-0.

WACHEZAJI wa timu ya Chuoni na Malindi wakiwania mpira katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar, kushoto Makame Hamadi wa Chuoni na kulia Mohammed Salum wa Malindi.  
WASHABIKI wa Mpira wakifuatilia mechi ya ligi kuu ya Zanzibar kati ya Malindi na Chuoni 
MSHAMBULIAJI  wa timu ya Chuoni Abdulkadir Ibrahim Kapenta akimpita beki wa timu ya  Malindi Mbaraka Mohammed  katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao Chuoni imeshinda 1-0 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.