Habari za Punde

MAMA MWANAMWEMA SHEIN ZIARANI PEMBA KUWASHUKURU AKINAMAMA

 MWENYEKITI  wa UWT Mkoa wa Kaskazini Pemba Saada Thani akitowa maelezo kwa Mke wa Rais wa Zanzibar alipofika katika ukumbi wa Benjamin Mkapa kutowa shukrani zake kwa Wanawake wa Vikundi vya UWT  kwa ushinndi wa CCM katika Uchaguzi wa Urais uliofanyika Mwaka jana
KATIBU  wa UWT wa Mkoa wa Kaskazini  Mafunda Khamis akisoma risala ya Wanawake wa UWT kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanawema Shein alipofika kuwashukuru katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa Wete

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.