Habari za Punde

DREAM TEAM YA CCM

Zifuatazo ni nafasi za uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, CCM, na waliopewa jukumu la kuziongoza:





Katibu Mkuu - Wilson Mukama


Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara) - John Chiligati
Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)  -    Vuai Ali Vuai
Itikadi na Uenezi - Nape Nnauye
Organaizesheni ya NEC - Asha Abdallah Juma
Katibu wa Siasa na Mambo ya Nje - January Makamba 
Katibu wa Fedha na Uchumi - Mwigulu Nchema

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.