Habari za Punde

ZIARA YA MAMA SHEIN MKOA WA KUSINI UNGUJA

  MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akikata Utepe kuashiria kuweka jiwe la msingi la Jengo la Ushirika wa Saccos ua Muelekeo Mwema ilioko Kijiji cha  Mtende Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa ziara yake ya kutembelea Vikundi vya Ushirika vya Wanawake vya Mkoa huo
 Wananchi waliohudhuria wakimsikiliza kwa makini Mama Mwanamwema Shein alipokuwa akitowa nasaha zake
 MKE wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Seif Balozi akitowa nasaha zake kwa Wanavikundi  wa Ushirika vya Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya skuli ya Kiongoni Makunduchi wakati wa Ziara ya Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shein
 MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akiwahutubia Wanavikundi vya Ushirika katika Kijiji cha Makunduchi katika viwanja vya Skuli ya Kiongoni, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja jana

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.